
MADHARA YA KULALA UKIWA NA SIMU KITANDANI
2.SIMU NYINGI HASA SMARTPHONE HUTOA MIALE HATARI YA BLUU (blue light) Miale hii huonekana kiurahisi ukiwa na smartphone hasa ukiwa unatumia wakati wa giza, maile hii ni hatari kwani ina nguvu sawa na miale ya mwanga ya wakati wa mchana, jambo ambalo huvuruga mfumo wa homoni wa mwili hivyo kufanya homoni inayohusika na kuchochea usingizi (melatonin hormone) kutotengenezwa ipaswavyo hivyo kukufanya ukakosa usingizi kwani mwili huuona usiku kama mchana
>> SURUHISHO LA HATARI ZOTE HIZO NI HILI HAPA > Kwanza epuka kulala karibu sana na simu yako au kuweka chini ya mto wakati wa kulala angalau iwe mita moja na nusu kutoka mahali ulipolala endapo unaona ni vigumu basi ni vizuri ukaizima unapolala > Pili unapopiga au kupigiwa simu ni vizuri kutumia earphone ili kuepuka kuweka simu karibu na kichwa, endapo huna earphone basi usitumie sikio moja kusikiliza simu uwe unababilisha >Tatu usiwape watoto wachanga simu kwani wao huathirika kirahisi sana na mionzi > Na mwisho unapotumia simu nyakati za usiku ni vizuri ukapunguza kiasi cha mwanga (brightness) ili kujilinda na madhara ya miale ya bluu Nakushukuru sana mtu wangu kwa kutembelea blog hii na pia kwa kusoma habari hii ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KILA WAKATI FRESH BLOG tz ''karibu yako kila siku''

Post A Comment:
0 comments:
Chapisha Maoni